Mlima Gerizimu na Ebali ni ipi, na umuhimu wao rohoni ni upi?

Mlima Gerizimu na Ebali ni ipi? Mlima Gerizimu ni mlima unaopatikana katika mji wa Samaria Israeli, unatazamana uso kwa uso na mlima Ebali, tazama picha juu, milima hii miwili ilikuwa maarufu kwa wana wa Israeli kukutanika kwa ajili ya kufanya sherehe ya kujikumbusha juu ya Baraka na laana katika Torati waliopewa na Mungu. Kwani walipokuwa … Continue reading Mlima Gerizimu na Ebali ni ipi, na umuhimu wao rohoni ni upi?