Kuchelea ni nini?(2Wakorintho 11:3)

Nini maana ya neno kuchelea kama tunavyolisoma katika biblia? Kuchelea ni hofu au wasiwasi, husanani ule unaotokana na kuzuka kwa madhara Fulani. Kwa mfano tusome mstari huu; 2Wakorintho 11:2 Maana nawaonea wivu, wivu wa Mungu; kwa kuwa naliwaposea mume mmoja, ili nimletee Kristo bikira safi. 3 Lakini nachelea; kama yule nyoka alivyomdanganya Hawa kwa hila … Continue reading Kuchelea ni nini?(2Wakorintho 11:3)