Kutahayari ni nini katika biblia?(2Timotheo 2:15)

Kutahayari maana yake ni kuweka katika aibu, kuaibisha, kuaibishwa, kuaibika. Hivi ni baadhi ya vifungu vinavyolieeleza Neno hilo; 2Timotheo 2:15 “Jitahidi kujionyesha kuwa umekubaliwa na Mungu, mtenda kazi asiye na sababu ya kutahayari, ukitumia kwa halali neno la kweli”. Hapo ni Paulo akimwambia Timotheo, ajitahidi kuishi maisha yanayopendeza Mungu, ili asiwe na sababu ya kuona … Continue reading Kutahayari ni nini katika biblia?(2Timotheo 2:15)