Ni vitu vipi hivyo viwili visivyoweza kubadilika? (Ebr 6:18)

SWALI: Naomba kuuliza, huu mstari una maana gani? “..VITU VIWILI visivyoweza kubadilika ambavyo kwa hivyo Mungu hawezi kusema uongo”?! (Waebrania 6:18). JIBU: Shalom.. Tusome… Waebrania 6:17  “Katika neno hilo Mungu, akitaka kuwaonyesha zaidi sana warithio ile ahadi, jinsi mashauri yake yasivyoweza kubadilika, alitia kiapo katikati;  18  ili kwa vitu viwili visivyoweza kubadilika, ambavyo katika hivyo … Continue reading Ni vitu vipi hivyo viwili visivyoweza kubadilika? (Ebr 6:18)