WAENDEE WANA WA ISAKARI, UWE SALAMA.
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, nakukaribisha katika kuyatafakari maneno ya uzima, na leo tena kwa neema za Bwana tutajikumbusha juu ya mambo ya msingi ya kuzingatia siku hizi za mwisho Tukisoma biblia tunaona Yakobo alikuwa na wana 12, na kila mmoja alikuwa na tabia yake ya kipekee, Yusufu alikuwa na ya kwake, Yuda … Continue reading WAENDEE WANA WA ISAKARI, UWE SALAMA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed