NI KWA NAMNA GANI ROHO HUTUTAMANI KIASI CHA KUONA WIVU?

Shalom. Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze maandiko. Yapo mambo kadhaa ya kujikumbusha pale tunapokuwa wakristo. Ni lazima tujue kuwa Tunaposema tumeokoka, maana yake ni kuwa  tunakuwa tumeingia katika maagano ya ndoa takatifu na Mungu wetu. Mungu anakuwa mume wetu (Yeremia 3:14), na sisi tunakuwa bibi-arusi wake katika roho. Sasa ipo tahadhari … Continue reading NI KWA NAMNA GANI ROHO HUTUTAMANI KIASI CHA KUONA WIVU?