Nini maana ya “Uchungu wa mauti ni dhambi, na nguvu za dhambi ni torati”

SWALI:  Nini maana ya “Uchungu wa mauti ni dhambi, na nguvu za dhambi ni torati” (1 Wakorinto:15:56)?. JIBU: Pale Adamu alipoasi katika bustani ya Edeni, alipewa mapigo mawili makubwa…la kwanza Ardhi imelaaniwa kwa ajili yake, la pili ATAKUFA. Maana yake ni kwamba, Matokeo ya ardhi kulaaniwa ndio yale Bwana Mungu aliyoyataja pale kwamba atakula kwa … Continue reading  Nini maana ya “Uchungu wa mauti ni dhambi, na nguvu za dhambi ni torati”