Shokoa ni nini katika biblia?

Kama ni msomaji wa biblia utakuwa umekatana na hili neno sehemu nyingi.. Shokoa ni kiswahili cha zamani chenye maana ya “Vibarua”. Hususani wale waliotekwa na kulazimishwa kufanya kazi kwa nguvu. Kwamfano katika biblia tunamwona Mfalme Sulemani, aliwachukua watu Shokoa.. 2Nyakati 2: 7 “Basi kwa habari ya watu wote waliosalia wa Wahiti, na wa Waamori, na … Continue reading Shokoa ni nini katika biblia?