KUNA WAKATI YESU ATAPITA NA WATU HAWATAJUA.

Jina tukufu la Bwana wetu Yesu libarikiwe daima. Karibu tuzidi  kujifunza maneno ya uzima, kwasababu tupo katika nyakati za ukongoni kweli kweli, hivyo ni wajibu wetu kuzidi kujua mambo yahusuyo  ukombozi wetu kwa umakini zaidi.. Neno letu la leo linatoka katika vifungu hivi; Marko 9:30 “Wakatoka huko, WAKAPITA KATIKATI YA GALILAYA; NAYE HAKUTAKA MTU KUJUA. … Continue reading KUNA WAKATI YESU ATAPITA NA WATU HAWATAJUA.