Neno Bildi linamaanisha nini kwenye biblia(Matendo 27:28) ?

Bildi ni kitu cha kupimia kina cha maji,Mara nyingi huwa ni kamba ambayo wanaifungia kitu kizito kwenye moja ya ncha zake, kisha wanakishusha kitu hicho kwenye maji, aidha ¬†ya mto, au ya ziwa, au ya bahari. na moja kwa moja mpaka kwenye sakafu ya bahari. Kikishafika kule wanapima urefu wa kamba ile na hapo ndipo … Continue reading Neno Bildi linamaanisha nini kwenye biblia(Matendo 27:28) ?