KUMBE MUNGU ANAWEZA KUKULIPA KWA USICHOSTAHILI!

Shalom, Bwana atusadie ili kila siku tuzidi kuujua uweza wa Mungu, Kuna wakati Bwana Yesu aliwaambia viongozi wa dini na watu wote kuwa wanapotea kwasababu moja tu, nayo ni kwasababu hawayajui maandiko na uweza wa Mungu (Mt.22:29). Nasi Bwana atusaidie tusipotee kwa kukosa kuujua uweza wake. Na moja ya uweza wake ambao pengine hatuujui ni … Continue reading KUMBE MUNGU ANAWEZA KUKULIPA KWA USICHOSTAHILI!