Baghala ni nini katika maandiko?(2Wafalme 5:16).

Baghala kwa jina lingine ni nyumbu, lakini sio Yule nyumbu wa porini, bali ni mnyama chotara anayezalishwa kwa kukutanishwa Farasi na Punda. Tazama picha juu. Utalisoma Neno hilo (Baghala) katika kifungu hichi. 2Wafalme 5:16 “Lakini akasema, Kama Bwana aishivyo, ambaye nimesimama mbele yake, sipokei kitu. Akamshurutisha apokee; lakini akakataa. 17 Naamani akasema; Kama sivyo, lakini … Continue reading Baghala ni nini katika maandiko?(2Wafalme 5:16).