KUNA UMUHIMU WA KUWA MTU WA KURIDHIKA.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze biblia, Neno la Mungu linasema.. 1Timotheo 6:7 “Kwa maana hatukuja na kitu duniani, tena hatuwezi kutoka na kitu; 8  ila tukiwa na chakula na nguo tutaridhika na vitu hivyo”.. Hili ni moja la andiko linalochukiwa na wengi..Hususani watu wenye uchu wa kupata mali. Lakini wanalisahau pia … Continue reading KUNA UMUHIMU WA KUWA MTU WA KURIDHIKA.