Fumbi ni nini?(Ayubu 6:15)

Fumbi ni ni neno linalomaanisha kijito, Utalisoma katika mstari huu; Ayubu 6:15 “Ndugu zangu wametenda udanganyifu kama kijito cha maji. Mfano wa fumbi la vijito vipitavyo. 16 Vilivyokuwa vyeusi kwa sababu ya barafu, Ambamo theluji hujificha”. Angalia tafsiri maneno mengine ya biblia chini. Ikiwa utapenda tuwe tunakutumia mafundisho ya Neno la Mungu ya mara kwa … Continue reading Fumbi ni nini?(Ayubu 6:15)