Kicho ni nini? (Waefeso 5:21, 2Samweli 23:3)

Kicho ni hali ya hofu. Kwamfano pale biblia inaposema kicho cha Bwana, inamaanisha  hofu ya Bwana. Hivi ni baadhi ya vifungu vinavyolitaja neno hilo katika biblia; Matendo 9:31 “Basi kanisa likapata raha katika Uyahudi wote na Galilaya na Samaria, likajengwa, likiendelea na kuongezeka katika kicho cha Bwana, na faraja ya Roho Mtakatifu”. Waefeso 5:20 “na … Continue reading Kicho ni nini? (Waefeso 5:21, 2Samweli 23:3)