HEKIMA YA KIMUNGU, INAINGIAJE MIOYONI MWETU?

Shalom!. Karibu tuyatafakari pamoja maandiko. Elimu yoyote ile ya kidunia ni hekima..hekima sio tu kujua Nahau, na misemo na methali. Mtu anayekwenda kusoma elimu fulani labda ya uchumi au udaktari, anaingiza hekima ndani yake ya namna ya kumtibu mtu au namna ya kufanya biashara. Kadhalika na Elimu nyingine zote mtu anazokwenda kuzisomea, anakuwa anajiongezea hekima … Continue reading HEKIMA YA KIMUNGU, INAINGIAJE MIOYONI MWETU?