Nini maana ya “kila tendo lisilotoka katika imani ni dhambi?”

Jibu: Tusome mstari huo kuanzia juu kidogo. Warumi 14:21  “Ni vyema kutokula nyama wala kunywa divai wala kutenda neno lo lote ambalo kwa hilo ndugu yako hukwazwa. 22  Ile imani uliyo nayo uwe nayo nafsini mwako mbele za Mungu. Heri mtu yule asiyejihukumu nafsi yake katika neno lile analolikubali. 23  Lakini aliye na shaka, kama … Continue reading Nini maana ya “kila tendo lisilotoka katika imani ni dhambi?”