JINSI SHETANI ANAVYOZUIA MAJIBU YA MAOMBI YETU.

Utauliza je! Shetani ana uwezo wa kuzuia majibu ya maombi?. Jibu ni ndio!. Kwanza ni muhimu kufahamu kuwa shetani kamwe hana uwezo wa kuzuia maombi kumfikia Mungu..Maombi yeyote yale mtu anayoomba, yanapanda juu kwa Mungu moja kwa moja..Lakini kitu pekee ambacho shetani anachoweza kufanya ni kuzuia majibu ya Maombi.. Tunaona jambo hili kipindi cha Nabii … Continue reading JINSI SHETANI ANAVYOZUIA MAJIBU YA MAOMBI YETU.