SALA YA UPONYAJI/MAOMBI YA UPONYAJI.

Sala ya Uponyaji/Maombi ya uponyaji Nakusalimu katika jina  la Bwana Yesu Kristo. Kusudi lingine kuu tukiachilia mbali lile la wokovu wa roho zetu ambalo lilimfanya  Bwana Yesu aache enzi na mamlaka na ukuu kule mbinguni ashuke duniani, lilikuwa ni kutuponya na miili yetu pia. Luka 4:18 “Roho wa Bwana yu juu yangu, Kwa maana amenitia … Continue reading SALA YA UPONYAJI/MAOMBI YA UPONYAJI.