Kuwatema farasi, maana yake ni nini?

SWALI: Naomba kufahamu kuwatema farasi maana yake ni nini?. Kwanini Mungu aliwaagiza wana wa Israeli wakati mwingine wawateme farasi za maadui wao vitani? Neno hilo tunalisoma katika kifungu hiki; Yoshua 11:6  “Bwana akamwambia Yoshua, Usiche wewe kwa ajili ya hao; kwani kesho wakati kama huu nitawatoa hali wameuawa wote mbele ya Israeli; UTAWATEMA FARASI ZAO, … Continue reading Kuwatema farasi, maana yake ni nini?