Jibu: Kuna tofauti ya Neno “kutakabari” na “kutabaruku”. Kutakabari ni “kuwa ni majivuno yanayotokana na kiburi” unaweza kusoma kusoma kwa urefu hapa >> KUTAKABARI Lakini “kutabaruku” ambako ndiko tunakokwenda kukuzungumzia leo, maana yake ni “KUWEKA WAKFU”. Sasa sikuku ya kutabaruku maana yake ni “Sikukuu ya kuweka wakfu”. Sikukuu hii ilianza kusheherekewa na Wayahudi (yaani waisraeli), … Continue reading Sikukuu ya kutabaruku ni ipi?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed