Kwanini Kuhani wa Mungu Eli alikufa kwa kuvunjika shingo?
Kwanini Kuhani wa Mungu Eli alikufa kwa kuvunjika shingo, Na sio kwa njia nyingine yoyote salama? Habari ya Eli ni funzo tosha kwa kanisa la Kristo leo hii. Mungu aliruhusu afe kifo cha aina hiyo, ili kutimiza mstari huu wa biblia; Mithali 29:1 “Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati dawa”. Kama tunavyoijua … Continue reading Kwanini Kuhani wa Mungu Eli alikufa kwa kuvunjika shingo?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed