USIIGEUZE NYUMBA YA MUNGU KUWA PANGO LA WANYANG’ANYI.
Jina la Bwana wetu Yesu libarikiwe, Kama umeamka salama ni jambo la kumshukuru Mungu sana, hivyo nakukaribisha katika kuyatafakari maneno ya Uzima ya Bwana wetu, ambayo ndio chakula cha roho zetu. Neno la Mungu linasema.. Yeremia 7: 9 “Je! Mtaiba, na kuua, na kuzini, na kuapa kwa uongo, na kumfukizia Baali uvumba, na kuifuata miungu … Continue reading USIIGEUZE NYUMBA YA MUNGU KUWA PANGO LA WANYANG’ANYI.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed