Kikoto ni nini?(Yohana 2:15)

Kikoto ni nini? Kikoto ni aina ya kiboko mfano wa mjeledi. Tazama picha juu. Tunaweza kuona wakati ule Yesu alipokwenda Hekaluni na kukuta watu wameigeuza nyumba yake kuwa pango la wanyang’anyi, tendo alilolifanya ni kuunda aina hii ya mjeledi, kwa kuusokota kwa kamba mbeleni. Ili awaadhibu vizuri wale watu waliokuwa wanasitiri maovu yao kule, waliokuwa … Continue reading Kikoto ni nini?(Yohana 2:15)