Neema ni nini?

Neema ni nini kibiblia? Neema ni “upendeleo usio na sababu” au kukubaliwa kusikostahili. Upo upendeleo wenye sababu na usio na sababu. Mfano wa upendeleo wenye sababu ni huu tulionao sisi wanadamu, sisi tunapendelea walio wetu, yaani watu tunaowajua au wenye manufaa katika Maisha yetu kama vile ndugu zetu, marafiki zetu n.k. Hakuna mwanadamu yeyote anayeweza … Continue reading Neema ni nini?