USINIE MAKUU.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, Karibu tujifunze biblia. Neno la Mungu linasema katika.. Warumi 12:3 “Kwa maana kwa neema niliyopewa namwambia kila mtu aliyeko kwenu ASINIE MAKUU KUPITA ILIVYOMPASA KUNIA; bali awe na nia ya kiasi, kama Mungu alivyomgawia kila mtu kiasi cha Imani”. Sasa kunia makuu kunakozungumziwa hapo ni kupi? Tukiendelea mbele … Continue reading USINIE MAKUU.