Wevi na wanyanga’anyi waliomtangulia Yesu walikuwa ni wapi?

SWALI: Bwana Yesu asifiwe mtumishi habari ya uzima, samahani nini swali;  Yohana 10:7-8 inasema; “7 Basi Yesu aliwaambia tena, Amin, amin, nawaambieni, Mimi ndimi mlango wa kondoo. 8 Wote walionitangulia ni wevi na wanyang’anyi; lakini kondoo hawakuwasikia”. Hapo sijaelewa Bwana alichokimaanisha aliposema wote waliomtangulia walikuwa ni wevi na wanyang’anyi? JIBU: Mstari huo hauzungumzii, wale waliomtangulia … Continue reading Wevi na wanyanga’anyi waliomtangulia Yesu walikuwa ni wapi?