MZAZI, JALI MAISHA YA KIROHO YA MTOTO WAKO.
Kuna pepo moja lililowasumbua sana mitume wa Yesu, hilo halikuwa sawa na pepo mengine waliyokutana nayo, walihangaika nalo mchana kutwa lakini hawakufua dafu mpaka alipokuja Bwana Yesu mwenyewe kulikemea na kulitoa. Lakini leo hatutazungumzia juu ya pepo hilo kwasababu habari yenyewe tunaijua, ila katika habari hiyo lipo jambo ambalo ni vizuri sisi tukajifunza, husasani kwa … Continue reading MZAZI, JALI MAISHA YA KIROHO YA MTOTO WAKO.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed