NA BAADA YA LILE TONGE, SHETANI AKAMWINGIA.

Shalom, leo tutajifunza madhara ambayo tunaweza kuyapata pale tunapoukataa¬† ule upendo wa mwisho kabisa wa Yesu Kristo. Yuda alikuwa ni mtume wa Yesu, lakini kama tunavyojua habari yake, alikuwa mwizi, na pia hakuwa na upendo ¬†wa dhati kwa Bwana.. Tunaona katika biblia hali hiyo ya uasi aliendelea nayo kwa muda mrefu sana, lakini katika kipindi … Continue reading NA BAADA YA LILE TONGE, SHETANI AKAMWINGIA.