Pesa za bindoni ni nini?(Marko 6:8)
Bwana Yesu aliposema pesa za bindoni alimaanisha pesa za mfukoni.. mfuko unaozungumziwa ni ule wa kuvaa kiunononi ambayo ndio ilitumika zamani. tazama picha. Marko 6:7 “Akawaita wale Thenashara, akaanza kuwatuma wawili wawili, akawapa amri juu ya pepo wachafu; 8 akawakataza wasichukue kitu cha njiani isipokuwa fimbo tu; wala mkate, wala mkoba, wala pesa za bindoni”; … Continue reading Pesa za bindoni ni nini?(Marko 6:8)
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed