Nguo za magunia katika biblia ni zipi?
Nguo za magunia( au mavazi ya magunia) ndiyo mavazi ya namna gani ? Magunia kama biblia inavyotafsiri ni tofauti na inavyotafsiriwa sasa, Leo hii ukizungumzia magunia unamaanisha labda mifuko aina ya Salfeti (Sulphate) ambayo yanatumika sana sana katika kuhifadhia nafaka, au utakuwa unazungumiza magunia yaliyoshonwa kwa nyuzi za katani. Lakini mavazi ya magunia, biblia haiyatafsiri … Continue reading Nguo za magunia katika biblia ni zipi?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed