TUMEPEWA AMRI YA KUKANYAGA NGE NA NYOKA.
Jina la Bwana wetu Yesu libarikiwe. Unapomkiri Yesu kwa Kinywa, au unapojisalimisha kwa Yesu, kwa kudhamiria kabisa, dakika hiyo hiyo..Shetani anaangushwa juu yako, kama umeme…Na anawekwa chini ya miguu yako na unakabidhiwa mamlaka, juu yake. Luka 10: 18 “Akawaambia, Nilimwona Shetani, akianguka kutoka mbinguni KAMA UMEME. 19 Tazama, NIMEWAPA AMRI YA KUKANYAGA NYOKA NA NGE, … Continue reading TUMEPEWA AMRI YA KUKANYAGA NGE NA NYOKA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed