Bwana Yesu alimaanisha nini kusema “Saa yangu haijawadia?”

SWALI: Bwana Yesu alimaanisha nini kumwambia mama yake, “Saa yangu haijawadia”? Yohana 2:1 “Na siku ya tatu palikuwa na arusi huko Kana, mji wa Galilaya; naye mama yake Yesu alikuwapo. 2 Yesu naye alikuwa amealikwa arusini pamoja na wanafunzi wake. 3 Hata divai ilipowatindikia, mamaye Yesu akamwambia, Hawana divai. 4 Yesu akamwambia, Mama, tuna nini … Continue reading Bwana Yesu alimaanisha nini kusema “Saa yangu haijawadia?”