Santuri ni nini? (Danieli 3:5,10)

Santuri ni nini? Santuri ni chombo cha muziki, ambacho kiliundwa kwa nyuzi nyingi, na kilipigwa kwa vijiti viwili ambavyo viligongwa gongwa juu ya nyuzi hizo ili kutoa midundo tofauti tofauti. Tazama video hii, uone jinsi upigwaji wake ulivyokuwa na sauti zake zilivyo. Asili ya chombo hichi ni kutoka katika nchi za mashariki ya kati, maeneo … Continue reading Santuri ni nini? (Danieli 3:5,10)