Choyo ni nini kibiblia? (Luka 12:15, Zaburi 10:3)

Choyo ni nini kibiblia? Choyo ni tamaa ya hali ya juu, aidha wa mali, uongozi, au chakula, ambayo inaambatana na uchoyo. Kwa namna nyingine ni Tabia ya ubinafsi, tabia ya umimi. Kukataa kwa makusudi kuwapa wengine kile ulichonacho, au wanachostahili kukipata, kwa maslahi yako mwenyewe. Mithali 21:26 “Kuna atamaniye kwa choyo mchana kutwa; Bali mwenye … Continue reading Choyo ni nini kibiblia? (Luka 12:15, Zaburi 10:3)