kwanini yule kijana aliitupa ile nguo ya kitani chini na kukimbia uchi?

SWALI: Naomba ufafanuzi kidogo hapa sijaelewa vizuri, kwanini wakati Bwana Yesu anakuja kukamatwa naona kijana waliyemkamata alikuwa na nguo ya kitani ila baadae tunaona anaitupa nguo na kukimbia uchi , Marko 14:51-52 JIBU: Tusome; Marko 14:50 “Ndipo wakamwacha, wakakimbia wote. 51 Na kijana mmoja alimfuata, amejitanda mwili wake nguo ya kitani; wakamkamata; 52 naye akaiacha … Continue reading kwanini yule kijana aliitupa ile nguo ya kitani chini na kukimbia uchi?