NYAYO TUNAZOPASWA KUZIFUATA.

Shalom, Jina la Bwana Yesu libarikiwe, karibu tuyatafakari maandiko pamoja.. Ukifika mahali umepotea, na huoni mtu hata mmoja mbele yako wa kukupa msaada, lakini unapotazama chini, unaona nyayo za miguu zinaelekea upande fulani..bila shaka hatua inayofuata ni kuzifuata hizo nyayo, kwasababu unajua mwisho wa hizo nyayo ni kumfikia huyo mtu alipo. Na Kristo sasa hayupo … Continue reading NYAYO TUNAZOPASWA KUZIFUATA.