Bahari mbalimbali zilizoorodheshwa kwenye biblia.

Biblia inaziorodhesha bahari kuu nne, tuzisome; 1 ) Bahari ya shamu: Kwa sasa inajulikana kama bahari nyekundu, (Kwa kiingereza red sea). Hii ni ile bahari ambayo wana wa Israeli waliivuka baada ya Mungu kuipasua pale walipokuwa wanafuatiliwa na maadui zao, ambapo tunaona baadaye walikuja kumezwa na bahari ile. Kutoka 15:22 “Musa akawaongoza Israeli waende mbele … Continue reading Bahari mbalimbali zilizoorodheshwa kwenye biblia.