Sharoni ni nini au ni wapi kibiblia?(1Nyakati 5:16)

Maana ya Neno Sharoni ni “uwanda” au “nchi tambarare”. Katika biblia, tunaona lipo eneo (wilaya) lililojulikana sana na waisraeli kama Sharoni, japokuwa biblia haijatolea maelezo yake mengi, Lakini ni eneo lililokuwa na rubuta nyingi, na lilikuwa lipo karibu na fukwe za ile bahari kubwa(yaani bahari ya Mediterenia), tazama ramani. Utalisoma Neno hilo kwenye vifungu hivi … Continue reading Sharoni ni nini au ni wapi kibiblia?(1Nyakati 5:16)