Hayawani ni nini katika biblia?
Mwanzo 3:14 “Bwana Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi utakula siku zote za maisha yako” Hayawani ni wanyama wa mwituni, ambao sio wa kufugwa…Wanyama wa kufungwa ni kama Kondoo, Mbuzi, Ng’ombe, Ngamia, punda n.k. Hawa wameumbwa mahususi kuishi … Continue reading Hayawani ni nini katika biblia?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed