Makanwa ni nini katika biblia? (Danieli 6:22)

Neno hilo tunaweza kulisoma katika kifungu hichi; Danieli 6:22 “Mungu wangu amemtuma malaika wake, naye ameyafumba makanwa ya simba, nao hawakunidhuru; kwa kuwa mbele zake mimi nalionekana kuwa sina hatia; tena, mbele yako, Ee mfalme, sikukosa neno”. Makanwa kwa jina lingine ni midomo. Katika habari hiyo tunaona, baada ya Danieli kushitakiwa kwa makosa ambayo hakustahili … Continue reading Makanwa ni nini katika biblia? (Danieli 6:22)