Uchaji ni nini kama tunavyosoma katika 1Timotheo 2:10?

Tusome.. 1Timotheo 2:10 “bali kwa matendo mema, kama iwapasavyo wanawake wanaoukiri uchaji wa Mungu” Uchaji ni kitendo cha “kumcha Mungu”. Ni sawa na neno “Ulaji wa chakula” ni neno linalotokana na kitendo cha “kula chakla” Na vivyo hivyo uchaji, ni kitecho cha kumcha Mungu. Lakini tukirudi kwenye mstari huo, tukianzia juu kidogo kina jambo lingine … Continue reading Uchaji ni nini kama tunavyosoma katika 1Timotheo 2:10?