Hisopu/ Hisopo ni nini katika biblia?(Zaburi 51:7)
Hisopo au Hisopu ni jamii ya mmea, ambao ulitumiwa zamani na wana wa Israeli kwa matumizi mbalimbali. Tazama picha ya mmea wenyewe juu. Lakini mmea huu sana sana ulitumiwa kwa kwaajili ya shughuli za utakaso wa kimaagano, Kwamfano Hisopo ilitumika kuwatakasa watu waliokuwa na ukoma na nyumba zote zilizoathiriwa na ugonjwa huu, Walawi 14:4 “ndipo … Continue reading Hisopu/ Hisopo ni nini katika biblia?(Zaburi 51:7)
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed