Uga ni nini? Na kazi yake ni ipi kibiblia?

Uga ni sakafu ya kupuria/kupepetea nafaka iliyotumika zamani. Ikumbukwe kuwa zamani, hawakuwa na mashine za kupuria kama tulizonazo sasahivi baadhi ya sehemu, ilikuwa nafaka ikishatolea shambani, na majani yake, ilipelekwa moja kwa moja kwenye sakafu hii maalumu iliyonyooka ambayo ilijengwa kwa mawe, au ¬†juu ya ardhi ngumu,..Karibu kila shamba lilikuwa ni lazima liwe na sakafu … Continue reading Uga ni nini? Na kazi yake ni ipi kibiblia?