MTEGO HUTEGWA BURE, MBELE YA MACHO YA NDEGE YE YOTE.

Shalom, karibu tujifunze maneno ya uzima.. Lipo swali ambalo linaulizwa na watu wengi, kwamba kama Mungu anajua kuna jambo litakwenda kutokea mbeleni ambalo litanisababishia mauti, kwanini basi asinizuie kwenda kulifanya badala yake ananiacha mpaka naingia, na mwisho wa siku napotea na kwenda kuzimu? Mbona kama vile atakuwa sio Mungu wa upendo? Kama na wewe swali … Continue reading MTEGO HUTEGWA BURE, MBELE YA MACHO YA NDEGE YE YOTE.