Fadhili ni nini? Nini maana ya “fadhili zake ni za milele” kibiblia?
Biblia inapozungumza juu ya fadhili za Mungu, ni zaidi ya zile fadhili ambazo tunazojua ambazo mtu anaweza kuzifanya kwa mtu mwingine, yaani kumuonyesha ukarimu na wema.. Kibiblia Fadhili za Mungu ni Neno pana sana, kwa kiebrania linatamkwa “Hesed”, ambalo tafsiri yake huwezi kuelezea kwa neno moja, au kwa maneno machache. Fadhili za Mungu sio tu … Continue reading Fadhili ni nini? Nini maana ya “fadhili zake ni za milele” kibiblia?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed