Kwanini vizazi vya ukoo wa Yesu vinajipinga katika Mathayo na Luka.
Kwamfano tukisoma katika injili ya Mathayo, tunaona, mwandishi anaanza kueleza ukoo wa Yesu tangu Ibrahimu Mpaka Yusufu, lakini alipofika kwa Daudi, aliendelea na kusema Daudi akamzaa Sulemani, (Mathayo 1:6)..Lakini tukirudi tena kwenye Luka hapo hapo tunaona Daudi alimzaa Nadhani (Luka 3:31), Hiyo ni kuonyesha kuwa Yesu alipitia uzao wa Nathani na sio wa Sulemani, kulingana … Continue reading Kwanini vizazi vya ukoo wa Yesu vinajipinga katika Mathayo na Luka.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed