Nyinyoro ni nini?

Tusome.. Wimbo 2:1 “Mimi ni ua la uwandani, Ni nyinyoro ya mabondeni. ” Hapo kuna vitu viwili, 1) Ua la uwandani, na 2) Nyinyoro ya mabondeni. Sasa kwa urefu juu ya Ua hili la uwandani unaweza kufungua hapa  ili tuende pamoja >> Ua la Uwandani Lakini tutaiangalia sehemu ya pili inayozungumiza Nyinyoro ya mabondeni… Sasa Nyinyoro … Continue reading Nyinyoro ni nini?