Je! Ni dhambi kumpiga au kumuua mnyama bila sababu yoyote?

Biblia inatuambia kuwa viumbe vya Mungu navyo vinaugua, na vinapitia  shida kama sisi tu tunavyopitia.. Warumi 8:22 “Kwa maana twajua ya kuwa viumbe vyote pia vinaugua pamoja, navyo vina utungu pamoja hata sasa”. Hivyo kama vinaugua kama sisi, vinaumia kama sisi, ni kosa kuvipiga au kuviua bila sababu yoyote. Biblia imetoa sababu kuu mbili ya … Continue reading Je! Ni dhambi kumpiga au kumuua mnyama bila sababu yoyote?