JIFUNZE KUTOA KATIKA HAZINA YAKO VITU VIPYA NA VYA KALE.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze maandiko.. Mathayo 13:51  “Yesu aliwauliza, Mmeyafahamu hayo yote? Wakamwambia, Naam. 52  Akawaambia, Kwa sababu hiyo, kila mwandishi mwenye elimu ya ufalme wa mbinguni amefanana na mtu mwenye nyumba atoaye katika hazina yake vitu vipya na vya kale. 53  Ikawa Yesu alipoimaliza mifano hiyo, alitoka akaenda zake”. … Continue reading JIFUNZE KUTOA KATIKA HAZINA YAKO VITU VIPYA NA VYA KALE.